Gari mpya ya MITSUBISH ASX yazinduliwa jijini DSM
Kampuni ya Diamond Motors na Hansa Group za DSM imezindua gari mpya aina ya MITSUBISH ASX inayotumia mafuta kidogo kwa ajili ya vijana wa kisasa na familia zao
Meneja mauzo wa kampuni hiyo REENA GANATRA amesema gari hiyo imetengenezwa kwa teknolojia ya MIVEC yenye kulifanya gari liwe na nguvu ya kuzunguka kwa mwendo kasi na pia wanaziuza kwa mkopo