haya ndo majibu yake;
1.Baby tutaongea badae,nnakazi nyng
2.Jamani honey ckuweza kupokea cmu nlikua kwenye kelele.
3.Sweety cna credit,that's why cjajibu sms yako.
4.tuko kwenye kikao ntakubip badae dia.
5.Cmu haikua na chaji jamani (hapo alikuzimia).
6.Nipo na baba yangu ucpge cmu.
7.Naumwa kesho ha2wezi kuonana.
8.nyumban kuna mgeni cwez kuja leo.
9.Nipo safarini ntakutafuta badae (kwa saut ya chini).
10.Yani ulivoniongezea salio 2 likakatwa coz nilikopa,ni'recharge tena dia (lazma uombe poo). UKIONA MAJIBU HAYA UJUE HUNA CHAKO!!!