Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akizungumza na Dkt.Edward Shaeffer wa hospitali ya Johns
Hopkins (kushoto) na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi (kulia)
muda mfupi baada ya kuwasili ili kufanyiwa upasuaji katika Hospitali ya
Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland Marekani Jumamosi
asubuhi.Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu ulifanyika
salama.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na daktari Bingwa Mpasuaji
Edward Shaeffer muda mfupi kabla ya kuingia kwenye chumba cha upasuaji
uliofanyika katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland
nchini Marekani Jumamosi asubuhi(picha na Freddy Maro)
Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari waliomfanyia uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa anahitaji matibabu ya aina hiyo.
Upasuaji huo uliofanyika alfajiri na kuchukua kiasi cha saa moja unusu, umefanyika salama na kwa mafanikio makubwa.
Hali ya Mheshimiwa Rais Kikwete inaendelea vizuri, bado yuko wodini akiendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari na kupatiwa tiba.
Wananchi wataendelea kupewa taarifa sahihi kuhusu hali ya Rais Kikwete kwa kadri zitakavyokuwa zinapatikana.
Imetolewa na
KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS,
IKULU DAR ES SALAAM, NOVEMBA 9, 2014

Kwa
mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu ya
Tanzania, Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari
waliomfanyia uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa
anahitaji matibabu ya aina hiyo.
Upasuaji huo ulikuchukua kiasi cha saa moja unusu ambapo inaelezwa kuwa umefanyika salama na kwa mafanikio makubwa.
Taarifa hiyo inasema hali ya Rais Kikwete inaendelea vizuri japo bado
yuko wodini akiendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari na kupatiwa
tiba
- See more at: http://bataboiz.blogspot.com/2014/11/rais-wa-tanzania-jakaya-mrisho-kikwete.html#sthash.2ULQmVYq.dpuf

- See more at: http://bataboiz.blogspot.com/2014/11/rais-wa-tanzania-jakaya-mrisho-kikwete.html#sthash.2ULQmVYq.dpufRais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini
Marekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika
hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini Dar es
Salaam. Rais, Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi […] The post
Rais Kikwete afanyiwa upasuaji Marekani upasuaji wa Tezi DumeRais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini
Marekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika
hospitali ya John Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, nchini Dar es
Salaam. Rais, Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi […] The post
Rais Kikwete afanyiwa upasuaji Marekani upasuaji wa Tezi Dume
Kwa
mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu ya
Tanzania, Rais Kikwete amefanyiwa upasuaji huo baada ya madaktari
waliomfanyia uchunguzi wa afya yake kujiridhisha kuwa Rais alikuwa
anahitaji matibabu ya aina hiyo.
Upasuaji huo ulikuchukua kiasi cha saa moja unusu ambapo inaelezwa kuwa umefanyika salama na kwa mafanikio makubwa.
Taarifa hiyo inasema hali ya Rais Kikwete inaendelea vizuri japo bado
yuko wodini akiendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari na kupatiwa
tiba
- See more at: http://bataboiz.blo