MWANAFUNZI ALIYEYE RISIT NA KUPATA ONE YA SABA

hii ni habari mpya nzuri ambayo katika nchi ya ghana kuna mwanafunzi anayeitwa john ghost monner mwanafunzi kafaulu kwa kupata one ya saba kabla ya hapo alifanya mtihan wa taifa mwaka 2012 nakufel kwa kupata F ambayo ilimpa maumivu makubwa sana ila mungu siku zote amtup mja wake mwanafunzi akaamua kukomaa ajuavyo na baadae akaona bora arudie tena mtihan katika shule flan iitwayo sockie secondary school ambayo shule hiyo ilikuwa na walimu bora na hapo ndipo akaongea na head master aitwaye van ven likker akakubaliwa na kusubili mtihani wa taifa bahati nzuri siku ya mtihan ikawadia na akafanya mtihan yalivyo toka matokeo akawa aamin mungu mbaliki mwanafunzi na si tukomae tusizan kufel ndiyo mwisho wa maisha

Post a Comment

Previous Post Next Post