HB Dastani wants to sing songs by John Legend

Msanii chipukizi anayejulikana kwa jina la HB Dastani Asema ndani ya mwaka huu atahakikisha anafanya colabo matata na wasanii nje ya bara la afrika baadhi ya wasanii hao ni JOHN LEGEND , ENRIQUE IGLESSIAS , JASMINE THOMPOS na wengineo wengi
na pia alisema mengi kuhusu muziki na hata hivyo alihaidi hadi kufikia mwezi wa sita mwaka huu 2016 atakuwa tayari kasha toa kolabo moja na msanii mojawapo

Post a Comment

Previous Post Next Post