KWA WALE WENYE ROHO MBAYA WASIO NA HURUMA HAWATASOMA HAPA (HUJAFA HUJAUMBIKA)

Siku moja wakati Juma akicheza Mpira wa miguu na wenzake katika eneo lililo karibu na nyumba tunayoishi, ghafla nilisikia kelele ambazo zilinishtua sana!!, Kelele hizo zilinitoa chumbani kwenda kuangalia mwanangu juma nn kimempata. Nilipofika walipokuwa wanacheza Juma alikuwa amepigwa na Mpira tumboni na wenzake, nilimpa huduma ya kwanza, Juma hakuumia sana, baada ya kumbeleza pale aliinuka na kendelea kucheza kama kawaida. Sasa baada ya sikumbili kupita mwanangu juma aliendelea Kuvimba tumbo pasipo kujua tatizo ni nini? siku ya tatu niliamua kwenda Hospitali ya Mwananyamala Daresalaam, madaktari wakanambia wao hawaoni chochote na mtoto hana tatizo, nikapewa dawa za kupunguza Gesi tumboni wakifikiri kwamba ni gesi imejaa kutokana na vyakula anavyokula ingawa hawakuwa na uhakika. Kadiri siku zilivyokwenda Juma TUMBO lilizidi kuongezeaka na kuwa kubwa. nilianza kulia mwenyewe nikaanza kuzunguka nikiomba msaaada kwakuwa sina uwezo. Hospitalini nilishaambiwa mwanangu hana tatizo lolote maana madaktari hawawezi kumtibu kitu ambaco hawakijui. Huyu ndie mtoto wangu wa kwanza na wa mwisho nilishafugwa kizazi kutokana ajali niliwahi kuipata mwaka 2011, naogopa sana kumpoteza mwandangu sijui nitaishije hagpa duniani MAOMBI YANGU KWAKO. Tafadhali naomba unisaidie kusambaza Stroy hii kwa ndugu na jamaa wazidi kuniombea maana sasa naamini katika Maombi, bila kujali DINI yako, MUNGU ANAKUONA NA ATAKULIPA. Kumbuka leo kwangu ila kesho inaweza kuwa kwako! Usipiuuzie tafadhali Comment "Amen" Kumtakia Afya Na Furaha Mtoto Huyu. ‪#‎Share‬ #Share, #Share #Share Na Marafiki Ili Dua/Sala Ziwe Nyingi Na Apate Afya Na Uzima.

Post a Comment

Previous Post Next Post