WANAWAKE WA FACEBOOK JINSI WANAVYO WATEKA WANAUME

DAS: mambo BINTI : poa nambie wewe DAS : kwangu mzima xana 2 na ni amani kwa xana BINTI : das me nashida ya elfu hamsini je unaweza nisaidia jamani mpenzi DAS : mmmh sijakuelewa jamani unamaanisha wewe binti : nataka unipe 50000 maana chuo kwe2 bumu alijatoka das : haya mamii chukua hii 51000 jamani mi na wewe tena ni kama pete na kidole binti : das unautani me kweli nashida na iyo pesa maana nimefulia hata sina chakufanya mpenzi das : ooh mpenzi tena majanga hayo wacha wewe binti : das jamani si nimekupenda ghafla tu mwenzio ebu nawe kuwa serious basi das : we we we we hatar iyo me ninae huwa ananionga yeye elfu za vocha kila day sasa wewe unataka nikuonge wewe tena mmmh BINTI : kumbe we mwanaume suruali 2 eti eeeh das : we je mwanamke sketi maana sikusomi unijui unakurupuka 2 nikupe 50000 elfu me nachimba BINTI : hata elfu 5000 mpenzi wangu das nitumie tu KIMYA DAS KAINGIA MITINI HADI SAIVI SIJUI YUKO WAPI AU SIJUI KAENDA KUBOMOA KIBOX HAPANA JUA HIYO

Post a Comment

Previous Post Next Post