Home NAY KEZO MOYONI DOWNLOAD HERE byNew -4:22 AM 0 Wimbo mpya kutoka kwa Navy Kenzo unaitwa MOYONI na unatoka kwenye album mpya ya NIROGE. Wimbo unaongelea wapenzi wawili ambao wanataka kuchukua hatua nyingine kubwa katika uhusiano wao. Wimbo umekuwa produced na Nahreel mwenyewe. Facebook Twitter